DORREN KABAREEBE AMRUDIA MUNGU
Baada ya kusumbuliwa na ile skendo ya kuonyesha makalio stejini wakati Jose Chameleon akifanya shoo Uganda mwezi uliopita mwanamitindo Doreen Kabareebe amesema sasa ameamua kumrudia Mungu
Staa huyo ameandika kuwa maisha yake sasa yamehamia kanisani kwani anatumia muda mwingi kwenye nyumba hiyo ya ibada , tofauti na wakristo wengine ambao husali mara moja kwa wiki yeye anasema anahudhuria ibada zote ndogondogo ambazo huwa hazifuatwi