Mmiliki wa lebo ya kurekodi muziki ya Young Money Cash Money Brothers (YMCMB) Lil Wayne anapanga kustaafu muziki baada ya kutoa albamu yake ya 'Tha Carter V'
"Najua nyote mnahitaji niendelee kuwepo kidogo lakini Carter V ndio albamu yangu ya mwisho, " Wayne alimweleza mtangazaji Sway katika kipindi cha MTV News
"Nimekuwa nikirap tangu nina umri wa miaka nane huo ni muda mrefu sana " alisema
"Nimekuwa nikirap tangu nina umri wa miaka nane huo ni muda mrefu sana " alisema

.jpg)