Google PlusRSS FeedEmail

50 CENT AREKODI VIDEO YA UN



50 Cent amerekodi video ya wimbo wake mpya wa 'United Nations' ambao umo kwenye albamu yake ya nyimbo mchanganyiko ya 'Murder by Numbers'. Mkali huyo wa hip hop anaonekana akiwa amevaa 'Headphones' zake huku akijiachia katika jangwa la Las Vegas akiendesha gari lake aina ya Bentley

Akituma katika ukurasa wake wa Twitter "narekodi video ya United Natio wakati mtu wangu Chief Keef hakufikia kurekodi " rapa huyo anajiandaa kuachia 'Single' yake mpya ya 'My Life' akimshirikisha Eminem na Adam Levine kwenye tunes Novemba 27. Albamu yake ya tano ya 'Street King Immortal' itafuata mapema mwakani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging