| Mama wa marehemu Kanumba akipokea tuzo ya marehemu Steven Kanumba baada ya Baabkubwa kutambua mchango wa marehemu kanumba kwa kuwa mwigizaji bora wa kiume |
| Lady Jaydee binti machozi akipokea tuzo ya kuwa msanii bora wa kike wa mwaka huu |
| Msanii wa filamu nchini Monalisa akipokea tuzo ya kuwa muigizaji bora wa kike Tanzania |
| Mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania P Funk Majani akipokea tuzo ya kuwa mtayarishaji bora wa muziki wa kizazi kipya yaani Bongo Fleva nchini tuzo zilizoandaliwa na Baabkubwa |







