Janet Jackson (46) ambaye ameshaolewa mara mbili amechumbiwa na boifrendi wake bilionea wa Qatar, Wissam Al Man kwa mujibu wa ripoti mpya
Bilionea huyo mwenye umri wa miaka (37)alimpatia dada huyo mapema mwaka huu pete kubwa ya gharama yenye thamani ya dola bilioni 1 lakini hakuwa hakiivaa akihofia kuipoteza hivyo amehifadhi kabatini
Ndoa itafungwa hivi karibuni na itagharimu mamilioni ya dola kwani Wissam anataka iwe ya aina yake na anatawasafirisha ndugu wa Janet kutoka Marekani kwa ndege binafsi