MARTIN KADINDA KUWA JAJI UNIQUE MODEL LEO
Fainali la shindalo la kumsaka kisura mkali 'Unique Model 2012 linafanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Chaz Baba na wenzake wa bendi ya Mashujaa wataungana na wasanii wengine kusindikiza vimwana 12 watakaochuana katika fainali hiyo
Shindano hilo litaamuliwa na wabunifu nyota wa mavazi na mitindo nchini wakiwamo Asia Idarous, Gymkhan Hillal na Martin Kadinda
Kwa mujibu wa waraatibu wa shindano hilo maandalizi ya fainali hizo yamekamilika na washiriki wote wamepania kuonyesha kazi