Google PlusRSS FeedEmail

ONESHO LA AZONTO LA PEPERUKA

Onesho la msanii mahiri wa muziki wa kisasa toka Ghana, Fuse ODG anayetamba na wimbo wa Azonto lililokuwa lifanyike jana jijini Dar es Salaam limehahirishwa mpaka litakapotangazwa tena

Onesho hilo lililokuwa lifanyike katika fukwe za Mbalamwezi lilihairishwa baada ya msanii huyo kuchelewa na ndege iliyokuwa imlete nchini

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging