Baada ya kuanguka jukwani juzi, imebainika kwamba figo za msanii na muongozaji wa filamu maarufu Tanzania Sadiq Juma Kilowoko, "Sajuki" zimeshindwa kufanya kazi hivyo jumla ya shilingi Milioni 28 zinahitajika kunusuru maisha yake.Katibu wa shirikisho la Filamu Nchini, Wilson Mukubi amekaririwa akisema kwamba yote hayo yamegundulika alipofanyiwa uchunguzi katika hospitali Amana, ambako alifanyiwa vipimo.Sajuki ambaye haijapita mwaka tangu arudi kutoka Nchini India, ambako alikuwa katika matibabu ,alikuwa akionekana kuendelea vizuri, na kuanza kuwashukuru mashabiki wake lakini ghafla juzi akiwa katika moja ya maonesho hayo alianguka na kushindwa kuendelea na shunguli iliyompeleka.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.