Google PlusRSS FeedEmail

MSONDO - SIKINDE KUKUTANA USO KWA USO KRISMASI



Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa juzi na mratibu wa mchuano huo,Joseph Kapinga, pambano hilo pamoja na kusherehekea Sikukuu ya Krismasi, pia litakuwa la kufunga mwaka 2012.Bendi zenye upinzani wa jadi, Msondo Ngoma na Mlimani Park Orchestra ‘Wana Sikinde Ngoma ya Ukae’ wanatarajiwa kumenyana siku ya Krismasi katika Ukumbi wa Equator Grill, Temeke, imefahamika.Kapinga alisema kwamba, pambano hilo litaamua bendi bora kati ya magwiji hao wawili wa muziki wa dansi nchini kwa mwaka 2012, ambapo mchuano utaanza saa 9:00 alasiri mpaka majogoo Kwani bendi hizo zitamenyana jukwaa moja, huku kila moja akitumia vyombo vyake ili kuondoa malalamiko ya kuhujumiwa, ambako kila moja itatumia saa moja kabla ya nyingine kupanda jukwaani.“Litakuwa pambano la aina yake, ukizingatia kuwa hii itakuwa ni mara ya pili kwa bendi hizo kupambana siku ya Krismasi tangu zianzishwe, ambapo mwaka jana zilipambana TCC Club..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging