Google PlusRSS FeedEmail

TREY SONGZ KIZIMBANI KWA KUMRUSHIA MWANAMKE FEDHA




Katika namna zote ambazo watu maarufu hukamatwa na polisi hii bila shaka ni kali kuliko zote

Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, Trey Songz alikamatwa na polisi mwezi uliopita mjini New York kwa 'kumnyeshea' mvua ya pesa mwanamke

Nyota huyo wa R&B alikamatwa kwa tukio hilo siku ya sherehe ya kuachia albam yake katika klabu ya wanaume ya Queens lakini taarifa hizo ndio zinafahamika sasa

Kwa mujibu wa ripoti, takribani muda wa kufunga ukumbi huo msanii huyo aliingia katika ugomvi wa kusukumana ukumbini ambapo alidaiwa kumrushia sarafu mwanamke

Inahisiwa lakini haijathibitishwa kwamba mwanamke huyo ni kati ya vimwana wanaonengua kwa kuvua nguo ukumbini humo na kwamba sasa anamtafutia njia ya kutokea

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging