Google PlusRSS FeedEmail

EVE ARUDI KIVINGINE KWENYE 'GEMU'



Eve amerejea kwenye gemu kwa kuachia mfululizo wa ngoma yake mpya ya 'Evestylin Tuesdays' baada ya kushirikishwa katika remixza ngoma zilizotamba za wasanii kama Rihanna, Miguel na Brandy,rapa huyo amerekodi tena wimbo mwingine aliyoshirikishwa na DJ Drama ambao ni wa uhamasishaji wa kutokata tamaa ya kimaisha wa 'My Moment'

Albam ya rapa huyo wa 'Lip Lock' ambayo imecheleweshwa itaingia mtaani Aprili 2013

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging