Google PlusRSS FeedEmail

BEYONCE APATA HEKAHEKA




Imekuwa ni wiki ya hekaheka kwa mwanamuziki mwenye makazi yake Texas, Beyonce, akijikuta  akidhalilika baada ya kugundulika kuwa hakufanya shoo yake live na badala yake ilikuwa ni rekodedi.

Mashabiki waliohudhuria onyesho hilo walidhani kuwa amefanya shoo hiyo live  kabla ya kugundua kuwa shoo hiyo ilikuwa ya kurekodiwa, kitu ambacho kiliwafanya kulalamika

Mwanamuziki Kelly Clarkson aliyepanda kabla ya Beyonce alicheza muziki wake  'Live'

Taarifa hizo zimekuja wakati mbaya kwa Beyonce kwa kuwa mwanamuziki huyo amekuwa katika jitihada la kujiunga tena na kundi la Destiny Child huku kukiwa na tetesi kibao kuhusiana na uhusiano na mume wake pamoja na mtoto wake.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging