Google PlusRSS FeedEmail

JESSICA SIMPSON AZIDI KUJENGA CHUKI NA BABA YAKE



Joe Simpson ndiye muandaaji mkuu wa shoo ya televisheni ya bintiye Jessica, lakini usitarajie wawili hao watamaliza tofauti zao hivi karibuni

Wakati muimbaji huyo alipoanza kurekodi vipande vya shoo yake hiyo baba yake ambaye wamegombana hivi karibuni hatakuwepo eneo la tukio

Jessica akimaliza kurekodi vipande vyake katika shoo hiyo itakayoitwa 'Fashion Star' Joe atakuwepo kusimamia maandalizi katika muda ambao bintiye atakuwa ameshaondoka

Joe amekuwa akihusishwa na wanaume katika kashfa ya ushoga wakati ndoa na mama yake Jessica Tina ikivunjika

"Msidanganyike kwamba kwa kuwa Joe ndiye muongozaji mkuu wa shoo ya Jessica atakuwa amesamehewa na Jessica kwa makosa yake ya kufanya udanganyifu nje ya ndoa yake na Tina " chanzo kilisema

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging