Kuna baadhi ya maneno ya uzushi yanayozushwa kwa wanadada watatu wanaounda kundi la Destiny's Child kupitia mahojiano ya hivi karibuni yalisema kuwa hataweza kuwa kitu kimoja kama ilivyotarajiwa na baadhi ya mashabiki wao
Wakati Beyonce ametuma picha za mazoezi anayoyafanya kwa ajili ya shoo kubwa anayotarajia kuifanya hivi karibuni, Williams alisema taarifa zinazotolewa juu ya kutengana kwa kundi hilo si za ukweli na hazijathibitishwa
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.