NICKI MINAJ AJITOKEZA KWA JIMMY KIMMEL
Hatimaye Nicki Minaj's amerudi tena katika kipindi cha Jimmy Kimmel kinachorushwa 'Live'baada ya kupotea takribani miaka mitatu, huku akizungumzia kuhusu mashindano yaliyopewa kwa jina la'American Idol'
Nyota huyo pia alizungumzia bifu lililokuwepo baina yake na nyota mwenzie Mariah Care na alizungumzia hisia zake kwa msanii huyo mwenzie
"Siwezi kusema chochote kile lakini nafikili kuwa yeye hanipendi mimi na si wezi kuendelea kupambana na yeye"