Google PlusRSS FeedEmail

TIMBALAND AINGIA MKATABA NA JAY Z




Nyota Timbaland ameingia mkataba na Jay Z kwa kusaini kufanya kazi chini ya label yake, mpango huo umekamilika jana jioni ambapo Timbaland alisaini rasim mkataba huo na kumfanya kuwa teyari yupo chini ya Label ya Jay Z

Timbaland aliahidi  kuendelea kufanya vizuri kimuziki baada ya wimbo wake 'Missy' kushuka kwenye chati miezi michache nyuma , hali hiyo ilisababisha mwanamuziki huyo kutosikika kwa mashabiki wake , inawezekana hiyo pia ikawa sababu ya yeye kuingia mkataba mpya na Jay Z

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging