Google PlusRSS FeedEmail

ALICIA KEY APATA SHAVU BLACKBERRY




Alicia Key amepata shavu la kuwa Mkurugenzi Mbunifu wa kampuni ya simu ya mkononi Blackberry

Wakati Alicia Key amepata shavu hilo, Blackberry teyari imetambulisha mfano wa bidhaa yake mpya ya simu baada ya uvumi wa muda mrefu

Wakati wakifanya utambulisho wa bidhaa hiyo, ndipo alipokuja na tangazo kubwa nyota huyo kama Mkurugenzi Mbunifu ili kuhakikisha bidhaa hiyo inakubalika sokoni kwa urahisi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging