AMERUDI tena katika makamuzi mapya muimbaji Beyonce katika stage ya 'Super Bowl XLVII' akionekana kucheza kwa umahili wa hali ya juu huku akiwaacha hoi baadhi ya wageni waliohudhuria onyesho hilo
Beyonce alianza na nyimbo iliyokuwepo katika albamu yake ya nne 'Crazy in Love' umahili wa uchezaji wake ukiwa upo sambamba na kivazi alichovaa ndicho kilichozidi kuvutia shoo hiyo
Kwa kuonyesha muungano wao katika kundi la Desriny Chil ambao unaonekana watu wengi kuutilia shaka muimbaji huyo alipanda jukwaani na waimbaji wenzie wanaounda kundi hilo Michelle William, na Kelly Rowland na kuimba nyimbo ya 'Independent Women
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.









