BREAKING NEWS : GOLDIE ALIYEIMBA NA AY AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa mwakilishi kutoka nchini Nigeria kwenye shindano la Big Brother Afrika mwaka jana Goldie Harvey amefariki dunia habari zilizothibitishwa kupitia mitandao ya nchini Nigeria
Goldie amefanya nyimbo na msanii AY ambapo nyimbo hiyo inafanya vizuri inajulikana kwa jina la Skibobo