BREAKING NEWS :PROFESA JAY AIBIWA VITU MWANZA Posted on by Zourha Malisa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay ameibiwa vitu vyake vyotevya thamani jijini Mwanza akiwa kwenye shoo mkoani hapo