RECHO APAGAWISHA WAKAZI WA GONGOLAMBOTO Posted on by Zourha Malisa Msanii Recho akicheza na mmoja wa mashabiki wake walio hudhuria shoo siku ya Ijumaa iliyofanyika katika Club ya Shemshizy iliyopo jijini Gongolamboto, shoo hiyo iliandaliwa na Pro 24 Djs ambapo kila siku ya Ijumaa wanatoa burudani katika club hiyo