JE GOLDIE ALIOLEWA ? Posted on by Zourha Malisa Hii ni moja kati ya picha za harusi zilizotumwa na mume wa marehemu Goldie ikionyesha kuwa alikuwa teyari ameshafunga ndoa