Nyota wa kike Nollyood, Omotola Jalade wiki hii amekuwa Mnigeria wa kwanza kufikisha watu milioni moja waliotembelea na kuupenda ukurasa wake wa Facebook
Staa huyo amesifika kwa kuwa na uzuri anayetajwa pia kuwa ni muigizaji aliye na mashabiki wengi wanaopenda kutembelea kurasa zake za mitandao ya kijamii anaongoza mastaa nchini humo wengi wanafuata
Malkia huyo wa waigizaji Nollywood, ambaye pia anawafuasi wengi katika mtandao wa Twitter hivi karibuni alitimiza umri wa miaka 35