Google PlusRSS FeedEmail

ASHANTI ATANGAZA UJIO WA ALBAM YAKE



Nyota wa muziki wa R&B Ashanti ametangaza tarehe rasmi ya kuingiza sokoni albam yake mpya ya 'Braveheart'

Albamu hiyo mpya ambayo inakuja baada ya albamu yake iliyopita ya 'The Declaration' ya mwaka 2008 itaingia sokoni juni 11 ikiwa na nyimbo kama "The Woman You Love'iliyomshirikisha Busta Rhymes

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging