Google PlusRSS FeedEmail

NICKI MINAJ AJISIFIA KUFANYA KAZI NA CIARA



Rapa Nicki Minaj amejikuta akipata sifa pamoja na yeye kujisifia kwa kumpa tafu mwanamuziki mwenzake Ciara katika ujio wa albam yake mpya ijayo iitwayo "One Woman Army'

"Nimekuwa nikifanya kazi sana na Ciara na sasa nipo studio nikimalizia nyimbo kadhaa kwa ajili ya albamu yake "Nicki aliliambia MTV News

Wawili hao walishirikiana kwenye wimbo wa 'I m Legit' uliokuwepo kwenye albam ya Pink Friday

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging