Google PlusRSS FeedEmail

MASTER JAY ARUDI TENA KWENYE 'GEMU'



Muimbaji wa miondoko ya Hip hop nchini Godzilla hivi karibuni ametoa nyimbo mpya ambayo imerekodiwa na kutengenezwa na Prodyuza mahiri wa muziki nchini Master Jay

Hali hiyo imemsababisha kumrudisha tena kwenye gemu la muziki Prodyuza huyo ambaye alipotea kwa mashabiki wake kwa muda mrefu , Godzilla ambaye amekuwa akifanya vizuri kwenye 'gemu' la muziki huo wa hip hop kwa muda alisema ameona fahari kupata mafanikio katika muziki wa kizazi kipya

Msanii huyo ambaye kwa sasa ametengeneza ngoma yake mpya ya zaidi ya hapo kupitia studio ya MJ Record inayomilikiwa na mtayarishaji mahili wa muziki wa bongo fleva nchini Master Jay

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging