PREZZO AMPONGEZA KENYATTA
Msanii kutoka nchini Kenya ambaye amefanya shoo hivi karibuni nchini Tanzania Prezoo ampongeza rais aliyeingia madaraka nchini humo Uhuru Kenyatta baada ya kuapishwa mwanzoni mwa wiki
Msanii huyo kumpongeza rais huyo kumeibua hisia tofauti kwa baadhi ya mashabiki wake na kudai kuwa alikuwa na njama za kumuomba ajira rais huyo








.jpg)