BEYONCE NA JAY -Z WAJIVINJARI CUBA
Muimbaji Beyonce Knowles pamoja na mumewake ambaye ni rapa nguli nchini Marekani Jay- Z waendelea kufanya kufuru kwa kwenda nchini Cuba kwa ajili ya kusherehekea kutimiza miaka yao mitano ya ndoa yao
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG






