BEYONCE ANA UJAUZITO!! Posted on by Unknown Baada ya uvumi mwingi, Beyonce amekiri kua ni mjamzito! Mrs Carter anategemea kupata mtoto wa pili baada ya mtoto wa kwanza Blue Ivy.