Google PlusRSS FeedEmail

MAMA G AANDAA HARUSI



Mwigizaji mkongwe wa filamu nchini Nigeria Patience Ozokwor maarufu kwa jina la mama G yupo katika harakati za kuandaa harusi ya mwanaye inayotarajiwa kufungwa baada ya mwaka huu

Kupitia mtandao wa Twitter Mama G aliandika ujumbe kuwa kwa sasa yupo katika maandalizi ya harusi ya mtoto wake wa kiume

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging