Google PlusRSS FeedEmail

KESI YA JAYDEE YAPIGWA KALENDA

Picha juu inamuonyesha mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya Judithi Wambura , 'Jay Dee'  kushoto akiwa na mumewake ambaye pia ndiyo meneja wake Gadna G. Habashi nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakisubili kuingia katika chumba cha mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi ya madai inayomkabili ambayo imefunguliwa na meneja wa mtafiti wa matukio Clouds  Media Group Ruge Mtahabwa pamoja na Joseph Kusaga, ambapo kesi hiyo imehairishwa mpaka tarehe 13 Juni mwaka huu.

Kesi hiyo ipo chini ya Hakimu Athumani Nyamlani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging