Mrembo aliyewahi kushiriki shindano la Miss Tanzania Feza Kessy, ametangazwa kuiwakilisha Tanzania katika shindano la 'Big Brother Afrika The Chase' nchini Afrika Kusini
Mbali na Kessy mwakilishi mwingine ni Dando atakuwa katika jengo hilo ambapo washiriki wa shindano hilo watakaa miezi mitatu wakipigiwa kura na mashabiki
Washiriki 28 watakuwa wakifuatiliwa matendo yao ya kila siku kutokana na kamera 56 na vipaza sauti 137 ndani ya jumba hilo