Google PlusRSS FeedEmail

MUIGIZAJI ATEULIWA KUWA BALOZI



Mwigizaji maarufu ambaye amempokea mungu kwenye maisha yake, Eucharia Anunobi ameteuliwa kuwa balozi wa dini amani na Umoja wa Kimataifa pamoja na kupewa tuzo ya Merit Award 2013. Pamoja na kuwa balozi, muigizaji huyo pia amepata tuzo hiyo kutokana na National Leadership of the Niger Delta Christian Network aliyokabidhiwa na Askofu Ambrose Joseph Milner wa Yeshua Embassy of Churches International

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging