Google PlusRSS FeedEmail

BAADHI YA WASANII NA WANASIASA WALIOHUDHURIA KUUWAGA MWILI WA NGWAIR

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mchiz Mox akipita mbele ya mwili wa Ngwair kutoa heshima za mwisho
 Diamond Platnamu akipita mbele ya mwili wa Ngwair kutoa heshima ya mwisho
 Mbunge wa Singida mjini Mohamed Dewji akitoa heshima za mwisho
 Mratibu wa mashindano ya Miss Tanzania Hashimu Lundenga
 Msanii wa bongo Movi JB akipita kutoa heshima ya mwisho

Umati uliofuruka kutoa heshima za mwisho

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging