Habari kutoka kwenye chanzo chetu cha karibu katika faamilia ya khadija kopa kimetupa habari asubuhi hii kuwa mume wa khadija kopa anaejulikana kama JAFFAR ALLY amefariki dunia usiku wa jana kuamkia leo huko bagamoyo ambapo ndio nyumbani kwao,marehemu alikuwa akiumwa kwa mda kidogo juzi alipata nafuu hata kupelekea mkewe KHADIJA KOPA kusafiri kikazi mpaka umauti unamkuta JAFFAR ALLY Khadija kopa yuko mkoani kwaajili ya shughuri zake za kikazi za kimuziki.Mungu ailaze roho ya marehemu Jaffar mahala pema peponi.amin.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







