Mara baada ya kufanya vyema kwenye usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi,Lady Jd kwa mara ya kwanza amejitokeza na Kuzungumza na Pro-24 na kutoa shukrani zake za dhati kwa mashabiki wake.,ambao kwa kiasi kikubwa walijitokeza kwa wingi,kiachi cha kufanya baadhi kukosa viti na wengine kushindwa kuingia katika show hiyo kutokana na umati uliofurika siku hiyo..Pro-24 Tummemuuliza je ni lini Atarudia show hiyo,aliweka baya kwa kusema kwamba kwa sasa atazunguka katika mikoa zaidi ya mitano..zaidi msikilize hakifafanua