Google PlusRSS FeedEmail

MAZISHI YA MSANII WA BONGO MOVIE KASHI ALIYEFARIKI JUNE 11



Mazishi ya msanii ya mwigizaji Jaji Khamis 'Kashi' aliyefariki jana June 11 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar yaliyofanyika leo mchana majira ya saa nane kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.


Marehemu Kashi alikumbwa na umauti baada ya kuugua ghafla malaria na kifua. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Kashi mahali pema peponi. AMEN!

                                            
 
 
 
 
 
 
 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging