MISS KILIMANJARO WATEMBELEA OFISI ZA MKUU WA MKOA
Warembo wa Redd's Miss Kilimanjaro wakijitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama walipomtembelea ofisini kwake juzi.Kinyang'anyiro hicho kinatarajiwa kufanyika Juni 15, mwaka huu mjini Moshi katika ukumbi wa hoteli ya Hugo








