Mtu mmoja anaehusishwa na kifo cha Notorious Big, Clayton Armstrong Hill, ametoroka jela huko Southeast Atlanta Tarehe 28 Mei.Kwa mujibu wa maelezo ya wausika, baada ya kufanya taratibu za kuhesabu watu za kila siku, mtu huyo aligundulika hayupo na ameshatoroka. Kwa sasa taarifa zimeshatolewa vituo vyote vya usalama na anatufutwa.