Wakati wa ufunguzi wa shoo ya Jaydee ulianza hivi , hawa ni baadhi ya wacheza shoo wakinogesha usiku huo
Jaydee akiwa sambamba na wacheza shoo wake katika kuhakikisha siku ya jana inakamilika
Mashabiki waliohudhuria onyesho hilo
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Jaydee akiwa na Sugu jukwanii huku katikati Mkoloni kuikamilisha siku ya miaka 13 ya Jaydee na kuzindua albamu yake katika ukumbi wa Nyumbani jana
Juma Nature ndani ya Nyumbani Lough jana usiku katika uzinduzi wa albamu ya Nothing but the Truth huku pia mwanadada Jaydee akitimiza miaka 13 ya muziki. Juma Nature alikuwa na kundi lake la Tmk Halisi
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.







