Google PlusRSS FeedEmail

JAYDEE NA POZI LA ANACONDA

 Jay Dee akiwa kwenye pozi kabla ajapanda jukwaani jana usiku
 Baadhi ya wadau wa muziki wa kizazi kipya wakiwa kwenye pozi la picha kabla ya kupanda jukwaani
 Professa Jay akiwa na mume wa Gadna G. Habash kabla ya kupanda jukwaani
 Mbunge wa Mbeya mjini (CHADEMA) Sugu akiwa kwenye pozi kabla ya kupanda jukwaani naye alikuwepo kwa ajili ya kushoo love kwa wapenzi wa Jaydee
Pale kati JayDee, pembeni mumewake Gadna G. Habash, kulia Professa Jay huku pembeni Mkoloni kwa pamoja wanaonyesha ishara ya Annaconda jana kabla ya kupanda jukwaani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging