Google PlusRSS FeedEmail

WATANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINI KUUAGA MWILI WA NGWAIR LEO

Mamia ya watanzania kesho wanatarajia kupokeaa mwili wa msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Albert Mangwea 'Ngwair' katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa msemaji wa kamati ya mazishi Adam Juma alisema awali mwili huo ulitakiwa uwasili leo lakini watanzania waishio Afrika Kusini wameomba nao leo wapate nafasi ya kuuaga mwili huo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging