Google PlusRSS FeedEmail

HUU NDIO UKWELI KUHUSU UVUMI WA UGOMVI KATI YA PFUNK NA ADAMU MCHOMVU


Jana jioni kuna habari za uzushi 'uongo' zilizokuwa zinasambazwa zikisema kuwa mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva Pfunk Majani amepigana na mtangazaji wa Clouds Media Group Adam Mchomvu maeneo ya Leaders Club wakati si kweli .

Wakati uvumi huo unatokea Adam hakuwepo eneo hilo ambapo P-Funk alikuwa yupo kwenye mchakato wa maswala ya kamati. Adamu alitokea majira ya jioni na kushangwaza na uvumi huo ambao ulivuma katika mitandao ya kijamii

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging