Google PlusRSS FeedEmail

JUSTINE BIEBER AJISAIDIA KATIKA NDOO YA KUPIGIA DEKI


Kama ni utoto basi msanii wa miondoko ya Pop Justin Bieber amefikia hatua mbaya kutokana na mambo anayoyafanya.

Msanii huyu ambaye ndio kwanza anamiaka 19 mara kadhaa amejikuta akifanya vitendo vya ajabu mbele ya jamii hali inayoonesha kama vile amelewa na umaarufu wake.

Safari hii msanii huyo kinda amefanya kituko cha mwaka baada ya kuingia katika mgahawa mmoja na kujisaidia haja ndogo katika ndoo ya kupiga deki


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging