JUSTINE BIEBER AMUOMBA RADHI BILL CLINTON
Muimbaji nyota wa muziki wa Pop Justine Bieber, amempigia simu rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton kumuomba radhi kutokana na kumkashifu baada ya kuonekana katika video akijisaidia kwenye ndoo huku akimkashfu rais huyo.
Bieber alimpigia simu rais huyo kumuomba radhi kwa kumkashifu pamoja na kupulizia rangi picha za rais huyo katika jiko la mgahawa mmoja katika jiji la New York City mapema mwaka huu