Mwili wa mama yake Professa Jay ukiingizwa kaburini leo, baada ya ibada ya kumuombea kumalizika ambayo ilifanyika nyumbani kwa Professa Jay Mbezi jijini Dar es Salaam, mwili huo umezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Professa Jay akiweka mchanga kwenye kaburi la mama yake
Professa Jay akiweka shada la maua katika kaburi la mama yake, huku akishikiliwa na baadhi ya ndugu zake
Badhi ya wasanii wa bongo fleva akiwemo Juma Naute wakiweka shada la maua
Msanii wa muziki AY akimpa pole Professa Jay
Msanii wa filamu nchini Steven Nyerere akimpa pole msanii mwenzie
John Makini akimpa pole msanii mwenzie
Msanii wa filamu nchini Dude akiwafariji baada ya kuweka shada la maua
P Funk akimfariji msanii Professa Jay
Mwana FA akimpa pole
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.