OBAMA ACHEZA NGOMA YA KITANZANIA , UJIO WAKE WANEEMESHA VIKUNDI VYA SANAA
Ujio wa rais wa Marekani nchini Tanzania umeongeza kipato kwa baadhi ya vikundi vya sanaa nchini ,hususani ngoma za asili kwa kupata nafasi kwa baadhi ya vikundi hivyo kutumbuiza wakati wa mapokezi ya rais huyo nchini . Katika picha inamuonyesha Obama akicheza ngoma, hali inayoonyesha kuvutiwa na utamaduni wa nchi yetu.








