MASANJA NA SHILOLE WAULA ULAYA Posted on by Zourha Malisa Msanii wa vichekesho 'The comed' Masanja Mkandamizaji pamoja na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Shilole wameula kwa kupata dili la maana ulaya