Google PlusRSS FeedEmail

YAHAYA KUTENGENEZWA NA OGOPA , DUDE MUHUSIKA MKUU

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura 'Jaydee' yuko jikoni kuitengeneza video nyimbo ya
Yahaya ambapo ndani ya video hiyo muhusika mkuu ni msanii wa filamu ya maigizo Dude.

Video hiyo ambayo inafanywa chini ya Ogopa ambao hivi sasa wapo nchini teyari kwa ajili ya maandilizi ya video hiyo ya Yahaya. Yahaya ni nyimbo ya msanii Jaydee ambayo ipo kwenye albamu yake inayojulikana kwa jina la Nothing but the Truth

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging