Rose Ndauka ndani ya pozi
Msanii anyeshirikishwa kwenye video za wanamuziki wa bongo fleva
Mitindo mbalimbali kutoboa masikio ni moja ya vitu vinavyowavutia wasichana, ikiwa Wolpa ni miongoni mwa wasichana walionekana tofauti jana kwa kulipamba sikio lake kwa hereni zenye muonekano tofauti
Msanii Wolpa katika pozi na red carpet
Wolpa katika pozi 'tatoo zahusika hapo'
Mtangazaji wa Channel ten Salma Msangi
Wema Sepetu akiwa na wadau wake katika pozi
Msanii Kajala Masanja
Msanii Jakobo Steven 'JB'







